WPML

WPML imebadilisha tovuti za WordPress kuwa za lugha mbalimbali. Inafanya kazi na uhifadhi wa muda, programu jalizi za SEO na za Biashara za Mtandao, na huwezesha ujenzi wa tovuti kamili za lugha mbalimbali. WPML huwezesha blogu rahisi na hata pia tovuti za masharika na makampuni.

WPML huwawezesha watumiaji kutafsiri kila kitu kwenye tovuti, ikiwa ni pamoja na maudhui, menyu, wijeti na hata mandhari na maandishi ya programu jalizi. WPML huwezesha zaidi ya tovuti 500,000 za biashara kutoka duniani kote.

Maelezo zaidi kuhusu kutumia lugha mbalimbali yanaweza kupatikana kwenye WPML.org

Tunatafuta kipaji. Ikiwa wewe ni msanidi programu mtanashati unakaribishwa kuwasiliana na sisi hapa: http://wpml.org/home/were-hiring/.

 

English Version

WPML turns WordPress websites multilingual. It works with caching, SEO and E-Commerce plugins, and allows the building of complete multilingual sites. WPML powers simple blogs as well as corporate and enterprise sites.

WPML allows users to translate everything in the site, including content, menus, widgets and even theme and plugin texts. WPML powers over 500,000 commercial websites from all over the world.

More information about going multilingual can be found at WPML.org

We are looking for talent. If you are a smart programmer you are welcome to contact us here: http://wpml.org/home/were-hiring/.